
Tulipendana Kitambo. By DENO.
Hi. Today Dennis tells us a story. The pictures used are of some boys I met. This is our only way of communication. Geoffrey and Martin. I hope you get your photos π. Enjoy the blog.
If you know you cannot manage yourself, just be alone in life. For a woman, submission is not a choice to make for your husband. And also ensure that your husband submits to God, it is also not a choice in whatever lifestyle you may choose to both live.

We both have to submit. The the man to God and the woman to the husband besides her own personal relationship with God.
Story Time ππ.
Sasa kulikuwa na huyu dem tulijiuana na yeye since enzi za Sunday school π€£π€£. Wale hamuendangi church shauri yenu. π
Manzi alikwa brown skin na kwao hawakuwa msoto ππ yani walikuwa na kakitu. Kuna vile alikuwa ananifurahisha, si ata wewe hizo siku ungetell kama manzi atakuwa keki akiwa mkubwa ππ.
Nilikuwa nataka kuongea na huyu manzi lakini nilikuwa naogopa, because sisi at the time, hatukuwa tumeomoka, na bado manzi alikua na tule tumaringo twa rangi ya thao. π
π
lakini mwalimu wetu wa Sunday school ni kama aliongeleshwa na Mungu, akaambiwa ni vizuri tuact play kama Mary na Joseph. Wazazi wa yesu ππ.
Tuliactingi hiyo play mbele ya wazazi na ikakua success such that wazazi wetu walifurahia sana hadi wakajuana π. After wazazi wetu wamejuana ilikua kind of benefit coz tulianza kuongea na manzi na pia kuanza kucheza Pamoja.π₯°
Time ili fly tukiwa mabeshte wa karibu na manzi hadi zile acting za church tulikuwa tunafanya vizuri Pamoja ππ
Nilikuwa nimeanza kupata mafeelings za manzi, so nikaamua kumuandikia kaletter coz izo dys unajua hiyo ndio ilikua rada ππ. Nilimpenda to a point that nilikuwa napiga Kiss 100 nasema manzi achezewe ngoma, then nampigia ndio askie π€© . mapenzi yalikua yameroga!π
Waah! Dem alikua anafurahia sana na alikuwa anapromise ati atanipenda to the end π
π
π
Tukamada primary, tukaitwa shule different, hiyo December tulispend time Pamoja, nakumbuka hadi nilimpeleka ka waterfall flani huko mtaani 88, tukajienjoy na manzi akapromise ati akienda shule hatanisahau πβΊ.
For me, haikuwa any need ya kupeana promises coz nilikuwa najua napenda manzi na roho yangu yote na hakuna vile ningependa mtu mwingine hivyo π
π
.
For me hata after nimeishia shule nilikuwa bado nafikiria manzi, sijui ama ilikuwa same na yeye. Tulirudi after midterm na tulionana na manzi church, wah sikuwa na amini ni yeye, sijui kama nyinyi huwa mnanotice but manzi wakiishia boarding school hurudi kama wameiva. π€πΆ
Alikuwa amepata figure, sura ilikuwa imevutia kama pearl, hips zilikuwa zimebuldge out ππ na tusisahau kifua mmmhπ₯°π. Waah kusema kweli manzi alikuwa ameiva π.
Nikaanza kunote some change of behaviour tukiwa Pamoja π¬π, then alikuwa form 2 . manzi ni kama hakuwa anataka tuonane because after church alikua anaishia home mapema ndio tusionane πͺ. Na still tukiwa Pamoja ni kama alikua anabehave ni kama hayuko comfortable π. Mimi nilikuwa nathani dem ako na shida home because mimi niliamini manzi alinipenda , so hawezi nifanyia hivyo. Waah better ningenote mapema kuliko kuumia π’π.
Tukaendelea hivyo, nikatolewa kwa dpic, akaweka yake pekee yake.π. kidogo kidogo akanisho, I’m not Tall na yeye alikua anataka TDH. Then the new guy akawekwa dpic after niambiwe ati mimi I donΒ΄t understand her.π€₯π
Hivyo ndio tuliwachana, sikuwa naskia kuenda church lakini kwetu kulikua Vietnam, lazima kanisaππ. Nikajaribu kutry kuongelesha dem ati she is going the wrong way because ilikuwa imefika point hadi anatext church.
Aah…. then nikamuacha.
Sikuhizi dem anasema vile anataka turudiane, vile she cannot live without me, nashindwa kwani all those days without me kwani alikufa. π€£π€£π€·ββοΈπ€·ββοΈ
Na nilipata bibi Mkalee na hatuachani π€£π€£π€£πππ.
Hii Eldoret. I love you my wife!β€β€